Posted inCommunity
VOI YASIMAMA KWA IMANI! WAUMINI WA KATOLIKI WAADHIMISHA SIKUKUU YA MWILI NA DAMU YA KRISTO KWA MAANDAMANO YA KIPEKEE
Mji wa Voi uligeuka kuwa uwanja wa maombi, nyimbo za sifa na ushuhuda wa imani huku mamia ya Wakristo Wakatoliki kutoka Parokia ya Our Lady Queen of Peace wakijumuika kuadhimisha…
